Kutoka 6:19
Wana wa Merari walikuwa Mahli na Mushi. 1 Hizi ndizo zilizokuwa koo za Lawi kufuatana na orodha zao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Wana wa Kohathi walikuwa Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133. 1
20Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. 1
Cross References
Numbers 3:20Koo za Wamerari zilikuwa ni: 2 Mahli na Mushi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Walawi, kufuatana na jamaa zao.
1 Chronicles 6:19Wana wa Merari walikuwa: 2 Mahli na Mushi. 1 Zifuatazo ni koo za Walawi zilizoorodheshwa kufuatana na baba zao: 1
1 Chronicles 24:26Wana wa Merari: walikuwa Mahli na Mushi. 2 Mwana wa Yaazia: alikuwa Beno. 1