The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 23 › 1 Nyakati 23:27

1 Nyakati 23:27

Kulingana na maagizo ya mwisho ya Daudi, Walawi waliohesabiwa ni wale wa kuanzia umri wa miaka ishirini au zaidi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For by the last words of David the Levites were numbered from twenty years old and above:

In Context

26Walawi hawahitaji tena kubeba Maskani wala chombo chochote cha utumishi wake.”

28Wajibu wa Walawi ulikuwa kuwasaidia wazao wa Aroni kuhudumu katika Hekalu la Bwana: Kuwa wasimamizi wa nyua, vyumba vya pembeni, kutakasa vyombo vitakatifu na utendaji mwingine wowote katika nyumba ya Mungu.

Read all of 1 Nyakati 23

Cross References

Numbers 3:8Watatunza samani zote za Hema la Kukutania, wakitimiza wajibu wa kuhudumia Waisraeli kwa kufanya kazi ya Maskani.

2 Samuel 23:1Haya ni maneno ya mwisho ya Daudi: 1 “Neno la Daudi mwana wa Yese, 2 neno la mtu aliyeinuliwa na Aliye Juu Sana, 1 mtu aliyepakwa mafuta na Mungu wa Yakobo, 2 mwimbaji wa nyimbo wa Israeli: 1

1 Chronicles 23:24Hawa walikuwa wazao wa Lawi kwa jamaa zao. Wakuu wa jamaa kama walivyoandikwa kwa majina yao na kuhesabiwa kila mmoja, yaani, wenye uwezo wa kufanya kazi kuanzia miaka ishirini au zaidi, waliohudumu katika Hekalu la Bwana.

Psalms 72:20Huu ndio mwisho wa maombi ya Daudi mwana wa Yese.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 23:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 23:261 Nyakati 231 Nyakati 23:28 →