2 Samweli 23:1
Haya ni maneno ya mwisho ya Daudi: 1 “Neno la Daudi mwana wa Yese, 2 neno la mtu aliyeinuliwa na Aliye Juu Sana, 1 mtu aliyepakwa mafuta na Mungu wa Yakobo, 2 mwimbaji wa nyimbo wa Israeli: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2“Roho wa Bwana alinena kupitia kwangu, 2 neno lake lilikuwa ulimini mwangu. 1
Cross References
Deuteronomy 33:1Hii ndiyo baraka Mose mtu wa Mungu aliyotamka kwa Waisraeli kabla ya kifo chake.
1 Samuel 2:10wale wampingao Bwana 2 wataharibiwa kabisa. 1 Atapiga radi dhidi yao kutoka mbinguni; 2 Bwana ataihukumu miisho ya dunia. 1 “Atampa nguvu mfalme wake, 2 na kuitukuza pembe 2 ya mpakwa mafuta wake.”
1 Samuel 17:12Basi Daudi alikuwa mwana wa Mwefrathi jina lake Yese aliyekuwa ametoka Bethlehemu ya Yuda. Yese alikuwa na wana wanane, naye wakati wa Sauli alikuwa mzee tena wa umri mkubwa.
2 Samuel 7:8“Sasa basi, mwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: Nilikutoa wewe kutoka machungani na kutoka kuandama kundi la kondoo na mbuzi ili kuwaongoza watu wangu Israeli.
2 Samuel 22:51Humpa mfalme wake ushindi mkuu; 2 huonyesha fadhili zake kwa mpakwa mafuta wake, 2 kwa Daudi na wazao wake milele.”
1 Chronicles 16:7Siku ile, kitu cha kwanza Daudi alichofanya ni kumkabidhi Asafu na wenzake zaburi hii ya shukrani kwa Bwana: 1