1 Chronicles 25:2
Kutoka kwa wana wa Asafu walikuwa: 2 Zakuri, Yosefu, Nethania na Asarela. Wana wa Asafu walikuwa chini ya usimamizi wa Asafu, ambaye alitoa unabii chini ya usimamizi wa mfalme. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Chronicles 6:39na msaidizi wa Hemani alikuwa Asafu, aliyesimama mkono wa kuume: 2 Asafu mwana wa Berekia, mwana wa Shimea, 2
1 Chronicles 16:5Asafu ndiye alikuwa mkuu wao, akisaidiwa na Zekaria, Yeieli, Shemiramothi, Yehieli, Matithia, Eliabu, Benaya, Obed-Edomu na Yeieli. Hawa ndio wangepiga zeze na vinubi, Asafu angepiga matoazi,
1 Chronicles 25:3Wana wa Yeduthuni walikuwa sita: 2 Gedalia, Seri, Yeshaya, Shimei, Hashabia, na Matithia, nao walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao Yeduthuni, wao walikuwa wakitoa unabii wakitumia vinubi, wakimshukuru na kumtukuza Bwana. 1
1 Chronicles 25:8Vijana kwa wazee, walimu kwa wanafunzi, wote walipanga kazi zao kwa kupiga kura. 1
Psalms 73:1Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, 2 kwa wale ambao mioyo yao ni safi. 1
Psalms 75:1Ee Mungu, tunakushukuru, 2 tunakushukuru wewe, 1 kwa kuwa jina lako li karibu; 2 watu husimulia matendo yako ya ajabu. 1