1 Nyakati 26:6
Shemaya mwanawe pia alikuwa na wana, waliokuwa viongozi katika jamaa ya baba yao kwa sababu walikuwa watu wenye uwezo mkubwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 6:12Malaika wa Bwana alipomtokea Gideoni, akamwambia, “ Bwana yu pamoja nawe, Ewe shujaa mwenye nguvu.”
1 Chronicles 12:28na Sadoki, kijana shujaa na hodari, aliyekuwa pamoja na maafisa ishirini na wawili kutoka jamaa yake. 1
2 Chronicles 26:17Azaria kuhani akiwa pamoja na makuhani wengine themanini wa Bwana wenye ujasiri wakamfuata huko ndani.
1 Timothy 6:12Pigana vile vita vizuri vya imani. Shika uzima wa milele ambao ndio ulioitiwa ulipokiri ule ukiri mzuri mbele ya mashahidi wengi.