1 Nyakati 27:17
kwa Walawi: Hashabia mwana wa Kemueli; 1 kwa Aroni: Sadoki; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of the Levites, Hashabiah the son of Kemuel: of the Aaronites, Zadok:
In Context
18kwa Yuda: Elihu, nduguye Daudi; 1 kwa Waisakari: Omri mwana wa Mikaeli; 1
Cross References
1 Chronicles 6:38mwana wa Ishari, mwana wa Kohathi, 2 mwana wa Lawi, mwana wa Israeli; 1
1 Chronicles 12:29Watu wa Benyamini, ndugu zake Sauli, walikuwa 3,000; wengi wao walikuwa wameendelea kuwa waaminifu kwa Sauli mpaka wakati huo. 1
1 Chronicles 24:31Pia walipiga kura kama vile ndugu zao wazao wa Aroni walivyofanya, mbele ya Mfalme Daudi, Sadoki, Ahimeleki na mbele ya viongozi wa jamaa ya makuhani na ya Walawi. Jamaa za ndugu wakubwa zilitendewa sawasawa na zile za ndugu wadogo.