The Bible Software
bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 27 › 1 Nyakati 27:16

1 Nyakati 27:16

Maafisa waliokuwa wanaoongoza makabila ya Israeli walikuwa: 1 Kwa Wareubeni: Eliezeri mwana wa Zikri; 1 kwa Wasimeoni: Shefatia mwana wa Maaka; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Furthermore over the tribes of Israel: the ruler of the Reubenites was Eliezer the son of Zichri: of the Simeonites, Shephatiah the son of Maachah:

In Context

15Jemadari wa kumi na mbili kwa mwezi wa kumi na mbili alikuwa Heldai Mnetofathi kutoka jamaa ya Othnieli. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 1 Maafisa Wa Makabila 1

17kwa Walawi: Hashabia mwana wa Kemueli; 1 kwa Aroni: Sadoki; 1

Read all of 1 Nyakati 27

Cross References

Genesis 35:22Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili. Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili: 1

Exodus 1:1Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli ambao walikwenda Misri na Yakobo, kila mmoja akiwa pamoja na jamaa yake:

Numbers 1:16Hawa walikuwa wanaume walioteuliwa kutoka jumuiya, viongozi wa makabila ya baba zao. Walikuwa wakuu wa koo za Israeli.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 27:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 27:151 Nyakati 271 Nyakati 27:17 →