bible.software › 1 Chronicles › 1 Chronicles 27 › 1 Chronicles 27:2
1 Chronicles 27:2
Msimamizi wa kikosi cha kwanza kwa mwezi wa kwanza alikuwa Yashobeamu mwana wa Zabdieli. Kulikuwa na watu 24,000 katika kikosi chake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Over the first course for the first month was Jashobeam the son of Zabdiel: and in his course were twenty and four thousand.
In Context
1Hii ndiyo orodha ya Waisraeli: viongozi wa jamaa, majemadari wa maelfu, majemadari wa mamia na maafisa wao, waliomtumikia mfalme kwa lolote lililohusu vikosi vya jeshi vilivyokuwa zamu mwezi baada ya mwezi katika mwaka mzima. Kila kikosi kimoja kilikuwa na watu 24,000. 1
3Yeye alikuwa mzao wa Peresi, na mkuu wa maafisa wote wa jeshi kwa mwezi wa kwanza. 1
Read all of 1 Chronicles 27
Cross References
1 Chronicles 11:11Hii ndio orodha ya mashujaa wa Daudi: Yashobeamu, Mhakmoni, alikuwa mkuu wa maafisa; yeye aliinua mkuki wake dhidi ya watu 300, ambao aliwaua katika pambano moja.
This Verse In Other Editions
Study 1 Chronicles 27:2