1 Nyakati 27:3
Yeye alikuwa mzao wa Peresi, na mkuu wa maafisa wote wa jeshi kwa mwezi wa kwanza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of the children of Perez was the chief of all the captains of the host for the first month.
In Context
Cross References
Genesis 49:8“Yuda, ndugu zako watakusifu; 2 mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako; 2 wana wa baba yako watakusujudia. 1
Numbers 10:14Vikosi vya kambi ya Yuda vilitangulia kwanza chini ya alama yao. Nashoni mwana wa Aminadabu alikuwa kiongozi wao.