bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 27 › 1 Nyakati 27:7
1 Nyakati 27:7
Jemadari wa nne kwa mwezi wa nne alikuwa Asaheli nduguye Yoabu, mwanawe Zebadia ndiye aliingia mahali pake kwenye uongozi. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The fourth captain for the fourth month was Asahel the brother of Joab, and Zebadiah his son after him: and in his course were twenty and four thousand.
In Context
6Huyu ndiye yule Benaya aliyekuwa shujaa miongoni mwa wale Thelathini na ndiye alikuwa juu yao hao Thelathini. Mwanawe Amizabadi ndiye alikuwa mkuu katika kikosi chake. 1
8Jemadari wa kikosi cha tano kwa mwezi wa tano alikuwa Shamhuthi Mwizrahi. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 1
Read all of 1 Nyakati 27
Cross References
2 Samuel 2:13Yoabu mwana wa Seruya na watu wa Daudi wakatoka na kukutana nao kwenye bwawa la Gibeoni. Kikundi kimoja kiliketi upande mmoja wa bwawa, na kikundi kingine upande wa pili.
2 Samuel 23:24Miongoni mwa wale Thelathini walikuwepo: 2 Asaheli ndugu wa Yoabu; 2 Elhanani mwana wa Dodo kutoka Bethlehemu; 2
This Verse In Other Editions
Study 1 Nyakati 27:7