The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 23 › 2 Samweli 23:24

2 Samweli 23:24

Miongoni mwa wale Thelathini walikuwepo: 2 Asaheli ndugu wa Yoabu; 2 Elhanani mwana wa Dodo kutoka Bethlehemu; 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Asahel the brother of Joab was one of the thirty; Elhanan the son of Dodo of Bethlehem,

In Context

23Yeye aliheshimiwa zaidi ya wale Thelathini, lakini hakujumuishwa miongoni mwa wale Watatu. Daudi akamweka kuwa kiongozi wa walinzi wake. 1

25Shama, Mharodi; 2 Elika, Mharodi; 2

Read all of 2 Samweli 23

Cross References

2 Samuel 2:13Yoabu mwana wa Seruya na watu wa Daudi wakatoka na kukutana nao kwenye bwawa la Gibeoni. Kikundi kimoja kiliketi upande mmoja wa bwawa, na kikundi kingine upande wa pili.

2 Samuel 21:19Katika vita vingine na Wafilisti huko Gobu, Elhanani mwana wa Yaare-Oregimu, Mbethlehemu, alimuua nduguye Goliathi, Mgiti, ambaye mkuki wake ulikuwa na mpini kama mti wa mfumaji.

1 Chronicles 27:7Jemadari wa nne kwa mwezi wa nne alikuwa Asaheli nduguye Yoabu, mwanawe Zebadia ndiye aliingia mahali pake kwenye uongozi. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 23:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 23:232 Samweli 232 Samweli 23:25 →