1 Chronicles 28:21
Migawanyo ya makuhani na Walawi iko tayari kwa ajili ya kazi yote katika Hekalu la Mungu, naye kila mtu mwenye moyo wa kupenda mwenye ustadi katika aina yoyote ya ufundi atakusaidia katika kazi yote. Maafisa na watu wote watatii kila agizo lako.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 31:3nami nimemjaza Roho wa Mungu, pamoja na ustadi, uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi,
Exodus 36:1Kwa hiyo Bezaleli, Oholiabu na kila mtu Bwana aliyempa ustadi na uwezo wa kujua jinsi ya kufanya kazi zote za kujenga mahali patakatifu wataifanya hiyo kazi kama vile Bwana alivyoagiza.”
1 Chronicles 22:17Kisha Daudi akawaamuru viongozi wote wa Israeli wamsaidie Solomoni mwanawe.
1 Chronicles 24:24Mwana wa Uzieli: alikuwa Mika; 2 kutoka kwa wana wa Mika: alikuwa Shamiri. 2
1 Chronicles 26:26Shelomithi na jamaa zake walikuwa waangalizi wa hazina zote za vitu vile vilivyowekwa wakfu na Mfalme Daudi, kwa viongozi wa jamaa waliokuwa majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia, na kwa maafisa wengine wa jeshi.
Psalms 110:3Askari wako watajitolea kwa hiari 2 katika siku yako ya vita. 1 Ukiwa umevikwa fahari takatifu, 2 kutoka tumbo la mapambazuko 2 utapokea umande wa ujana wako. + 110:3 Au: vijana wako watakujia kama umande. 1