Kutoka 31:3
nami nimemjaza Roho wa Mungu, pamoja na ustadi, uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2“Tazama, nimemchagua Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda,
4ili kubuni michoro ya kupendeza katika ufundi wa dhahabu, fedha na shaba,
Cross References
1 Kings 3:9Hivyo mpe mtumishi wako moyo wa ufahamu ili kutawala watu wako na kupambanua kati ya mema na mabaya. Kwa maana, ni nani awezaye kutawala watu wako hawa walio wengi hivi?”
1 Kings 7:14ambaye mama yake alikuwa mjane kutoka kabila la Naftali na baba yake alikuwa mtu wa Tiro tena fundi wa shaba. Hiramu alikuwa na ustadi wa hali ya juu na mzoefu katika aina zote za kazi ya shaba. Alikuja kwa Mfalme Solomoni na kufanya kazi zake zote alizopangiwa.
Isaiah 28:6Atakuwa roho ya haki 2 kwa yeye aketiye katika kiti cha hukumu, 1 chanzo cha nguvu 2 kwa wale wazuiao vita langoni. 1
1 Corinthians 12:4Kuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni yule yule.