1 Nyakati 3:11
mwanawe huyo alikuwa Yehoramu, 2 mwanawe huyo alikuwa Ahazia, 2 mwanawe huyo alikuwa Yoashi, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Joram his son, Ahaziah his son, Joash his son,
In Context
12mwanawe huyo alikuwa Amazia, 2 mwanawe huyo alikuwa Azaria, 2 mwanawe huyo alikuwa Yothamu, 2
Cross References
1 Kings 22:51Ahazia mwana wa Ahabu akawa mfalme wa Israeli huko Samaria katika mwaka wa kumi na saba wa Yehoshafati mfalme wa Yuda, naye alitawala katika Israeli kwa miaka miwili.
2 Kings 8:24Yehoramu akalala pamoja na baba zake, na akazikwa pamoja nao katika Mji wa Daudi. Naye Ahazia mwanawe akawa mfalme baada yake. 1 Ahazia Mfalme Wa Yuda (2 Nyakati 22:1-6)
2 Kings 11:2Lakini Yehosheba, binti wa Mfalme Yehoramu, aliyekuwa pia dada yake Ahazia, akamtwaa Yoashi mwana wa Ahazia kwa siri kutoka miongoni mwa wana wa mfalme waliokuwa karibu kuuawa. Akamweka Yoashi pamoja na yaya wake ndani ya chumba cha kulala na kumficha humo ili Athalia asimwone; kwa hiyo hakuuawa.
2 Kings 12:1Katika mwaka wa saba wa utawala wa Yehu, Yoashi alianza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka arobaini. Jina la mama yake aliitwa Sibia, kutoka Beer-Sheba.
2 Chronicles 21:1Yehoshafati akalala na baba zake, akazikwa pamoja nao katika Mji wa Daudi. Mwanawe Yehoramu akawa mfalme baada yake.
2 Chronicles 22:6Hivyo akarudi Yezreeli ili apate kuuguza majeraha aliyojeruhiwa huko Ramothi + 22:6 Yaani Rama kwa Kiebrania. alipopigana na Hazaeli mfalme wa Aramu. Ndipo Ahazia mwana wa Yehoramu, mfalme wa Yuda, akashuka kwenda Yezreeli kumtazama Yoramu mwana wa Ahabu, kwa sababu alikuwa amejeruhiwa.