1 Nyakati 3:12
mwanawe huyo alikuwa Amazia, 2 mwanawe huyo alikuwa Azaria, 2 mwanawe huyo alikuwa Yothamu, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Amaziah his son, Azariah his son, Jotham his son,
In Context
11mwanawe huyo alikuwa Yehoramu, 2 mwanawe huyo alikuwa Ahazia, 2 mwanawe huyo alikuwa Yoashi, 2
13mwanawe huyo alikuwa Ahazi, 2 mwanawe huyo alikuwa Hezekia, 2 mwanawe huyo alikuwa Manase, 2
Cross References
2 Kings 14:1Katika mwaka wa pili wa utawala wa Yehoashi mwana wa Yehoahazi mfalme wa Israeli, Amazia mwana wa Yoashi mfalme wa Yuda alianza kutawala.
2 Kings 15:5Bwana akampiga mfalme kwa ukoma mpaka siku aliyokufa, naye aliishi katika nyumba iliyotengwa peke yake. Yothamu mwana wa mfalme akawa msimamizi wa jumba la mfalme, na akawatawala watu wa nchi.
2 Kings 15:30Kisha Hoshea mwana wa Ela akafanya shauri baya dhidi ya Peka mwana wa Remalia. Akamshambulia na kumuua, kisha akaingia mahali pake kuwa mfalme katika mwaka wa ishirini wa Yothamu mwana wa Uzia.
2 Chronicles 25:1Amazia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka ishirini na tisa. Mama yake aliitwa Yehoadani kutoka Yerusalemu.
2 Chronicles 27:1Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na sita. Mama yake aliitwa Yerusha binti Sadoki.