1 Nyakati 3:17
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka: 2 Shealtieli mwanawe,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Jeconiah; Assir, Salathiel his son,
In Context
18Malkiramu, Pedaya, Shenasari, Yekamia, Hoshama na Nedabia. 1
Cross References
Ezra 3:2Yeshua mwana wa Yosadaki na makuhani wenzake, Zerubabeli mwana wa Shealtieli pamoja na wenzake walianza kujenga madhabahu ya Mungu wa Israeli ili kumtolea dhabihu za sadaka za kuteketezwa kwa moto juu yake, kulingana na ilivyoandikwa katika Sheria ya Mose mtu wa Mungu.
Ezra 5:2Ndipo Zerubabeli mwana wa Shealtieli na Yeshua mwana wa Yosadaki wakaanza kujenga tena nyumba ya Mungu huko Yerusalemu. Nao manabii wa Mungu walikuwa pamoja nao, wakiwasaidia.