1 Nyakati 3:16
Walioingia mahali pa Yehoyakimu kama wafalme ni: 2 Yekonia mwanawe, 2 na Sedekia. 2 Ukoo Wa Kifalme Baada Ya Uhamisho 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Jehoiakim: Jeconiah his son, Zedekiah his son.
In Context
17Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka: 2 Shealtieli mwanawe,
Cross References
2 Kings 24:6Yehoyakimu akalala pamoja na baba zake. Naye Yehoyakini mwanawe akawa mfalme baada yake.
2 Kings 24:17Akamfanya Matania, ndugu wa baba yake Yehoyakini, kuwa mfalme mahali pake, na akalibadilisha jina lake kuwa Sedekia. 1 Sedekia Mfalme Wa Yuda (2 Nyakati 36:11-12; Yeremia 52:1-3)
1 Chronicles 3:15Wana wa Yosia walikuwa: 2 Yohanani mzaliwa wake wa kwanza, 2 Yehoyakimu mwanawe wa pili, 2 wa tatu Sedekia, 2 wa nne Shalumu. 1
2 Chronicles 36:15Bwana, Mungu wa baba zao, akawapelekea neno kupitia wajumbe wake tena na tena, kwa sababu alikuwa anawahurumia watu wake pamoja na mahali pa maskani yake.
Jeremiah 22:28Je, huyu mtu Yekonia ni chungu kilichodharauliwa, 2 chungu kilichovunjika, 2 chombo kisichotakiwa na mtu yeyote? 1 Kwa nini yeye na watoto wake watupwe nje kwa nguvu, 2 na kutupwa kwenye nchi wasioijua? 1