bible.software › 1 Chronicles › 1 Chronicles 3 › 1 Chronicles 3:3
1 Chronicles 3:3
wa tano alikuwa Shefatia ambaye mama yake alikuwa Abitali; 2 wa sita alikuwa Ithreamu, aliyezaliwa na mke wake Egla. 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The fifth, Shephatiah of Abital: the sixth, Ithream by Eglah his wife.
In Context
2wa tatu alikuwa Absalomu, ambaye mama yake alikuwa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri; 2 wa nne, Adoniya, ambaye mama yake alikuwa Hagithi; 2
4Hawa sita walizaliwa huko Hebroni ambako Daudi alitawala kwa miaka saba na miezi sita. Daudi alitawala Yerusalemu kwa miaka thelathini na mitatu,
Read all of 1 Chronicles 3
This Verse In Other Editions
Study 1 Chronicles 3:3