1 Chronicles 3:2
wa tatu alikuwa Absalomu, ambaye mama yake alikuwa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri; 2 wa nne, Adoniya, ambaye mama yake alikuwa Hagithi; 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 3:4wa nne, Adoniya mwana wa Hagithi; 2 wa tano, Shefatia mwana wa Abitali; 2
2 Samuel 13:20Absalomu nduguye akamuuliza, “Je, huyo Amnoni ndugu yako, amekutana nawe kimwili? Sasa nyamaza umbu langu, yeye ni ndugu yako. Usilitie jambo hili moyoni.” Naye Tamari akaishi nyumbani kwa Absalomu nduguye, akiwa mwanamke mwenye huzuni.
2 Samuel 14:23Ndipo Yoabu akaenda hadi Geshuri akamrudisha Absalomu Yerusalemu.
2 Samuel 15:8Wakati mtumishi wako alipokuwa huko Geshuri katika nchi ya Aramu, niliweka nadhiri hii, ‘Ikiwa Bwana atanirudisha Yerusalemu, nitamwabudu Bwana huko Hebroni.’ ”
2 Samuel 18:18Wakati wa uhai wa Absalomu alikuwa amechukua nguzo na kuisimamisha katika Bonde la Mfalme, kwa maana alifikiri, “Sina mwana atakayeendeleza kumbukumbu ya jina langu.” Akaita nguzo hiyo kwa jina lake mwenyewe. Nayo inaitwa Mnara wa Ukumbusho wa Absalomu mpaka leo. 1 Daudi Aomboleza Kifo Cha Absalomu
2 Samuel 19:4Mfalme akafunika uso wake akalia kwa sauti, akisema, “Ee mwanangu Absalomu! Ee Absalomu, mwanangu, mwanangu!”