1 Nyakati 4:12
Eshtoni akawazaa Beth-Rafa, Pasea na Tehina. Tehina alikuwa baba wa Iri-Nahashi. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Reka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Kelubu, nduguye Shuha, akamzaa Mehiri, naye Mehiri akamzaa Eshtoni.
13Wana wa Kenazi walikuwa: 2 Othnieli na Seraya. 1 Wana wa Othnieli walikuwa: 2 Hathathi na Meonathai.