1 Chronicles 4:13
Wana wa Kenazi walikuwa: 2 Othnieli na Seraya. 1 Wana wa Othnieli walikuwa: 2 Hathathi na Meonathai.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Kenaz; Othniel, and Seraiah: and the sons of Othniel; Hathath.
In Context
Cross References
Joshua 15:17Basi Othnieli mwana wa Kenazi, ndugu yake Kalebu, akauteka; hivyo Kalebu akamtoa Aksa binti yake aolewe naye.
Judges 3:9Waisraeli walipomlilia Bwana, yeye akawainulia mwokozi, Othnieli mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa Kalebu, ambaye aliwaokoa.