1 Nyakati 4:17
Wana wa Ezra walikuwa: 2 Yetheri, Meredi, Eferi na Yaloni. Mmojawapo wa wake zake Meredi aliwazaa: Miriamu, Shamai na Ishba aliyekuwa baba yake Eshtemoa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Wana wa Yahaleleli walikuwa: 2 Zifu, Zifa, Tiria na Asareli. 1
Cross References
Joshua 15:50Anabu, Eshtemoa, Animu,
1 Chronicles 4:19Wana wa mke wa Hodia aliyekuwa dada yake Nahamu walikuwa: 2 baba yake Keila, Mgarmi na Eshtemoa, Mmaakathi. 1
1 Chronicles 21:24Lakini Mfalme Daudi akamjibu Arauna, “La hasha! Lakini ninasisitiza kwamba nitalipa bei yake kamili. Sitachukua kilicho chako kwa ajili ya Bwana au kutoa sadaka ya kuteketezwa ambayo hainigharimu chochote.”