1 Nyakati 4:18
Meredi alikuwa na mke mwingine Myahudi ambaye aliwazaa: Yeredi baba wa Gedori, Heberi baba wa Soko na Yekuthieli baba wa Zanoa. Hawa walikuwa watoto wa Bithia binti Farao, ambaye Meredi alikuwa amemwoa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 15:48Katika nchi ya vilima: 1 Shamiri, Yatiri, Soko,
Joshua 15:58Halhuli, Beth-Suri, Gedori,
1 Chronicles 4:4Penueli akamzaa Gedori, naye Ezeri akamzaa Husha. 1 Hawa walikuwa wazao wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrathi, na baba yake Bethlehemu. 1
1 Chronicles 12:7Yoela na Zebadia, wana wa Yerohamu, kutoka Gedori.