bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 4 › 1 Nyakati 4:22
1 Nyakati 4:22
Yokimu, watu walioishi Kozeba, Yoashi na Sarafi waliotawala huko Moabu na Yashubi-Lehemu. (Taarifa hizi ni za zamani sana.)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jokim, and the men of Chozeba, and Joash, and Saraph, who had the dominion in Moab, and Jashubi-lehem. And these are ancient things.
In Context
21Wana wa Shela, mwana wa Yuda, walikuwa: 2 Eri baba yake Leka, Laada baba yake Maresha na jamaa za wafumaji nguo za kitani safi waliokuwa wakiishi huko Beth-Ashbea,
23Hawa walikuwa wafinyanzi walioishi Netaimu na Gedera; waliishi huko wakimtumikia mfalme. 1 Simeoni 1
Read all of 1 Nyakati 4
This Verse In Other Editions
Study 1 Nyakati 4:22