1 Chronicles 4:21
Wana wa Shela, mwana wa Yuda, walikuwa: 2 Eri baba yake Leka, Laada baba yake Maresha na jamaa za wafumaji nguo za kitani safi waliokuwa wakiishi huko Beth-Ashbea,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 46:12Wana wa Yuda ni: 2 Eri, Onani, Shela, Peresi na Zera (lakini Eri na Onani walifariki katika nchi ya Kanaani). 2 Wana wa Peresi ni: 3 Hesroni na Hamuli. 1
Joshua 15:44Keila, Akzibu na Maresha; yote ni miji tisa pamoja na vijiji vyake. 1
1 Chronicles 9:5Wazao wa Washiloni waliorudi ni: 2 Asaya mzaliwa wa kwanza na wanawe. 1
Isaiah 19:9Wale watu wafanyao kazi ya kitani kilichochambuliwa watakata tamaa, 2 wafumaji wa kitani safi watavunjika moyo. 1