1 Nyakati 4:25
Mwana wa Shauli alikuwa Shalumu, Shalumu akamzaa Mibsamu, na Mibsamu akamzaa Mishma. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Shallum his son, Mibsam his son, Mishma his son.
In Context
24Wazao wa Simeoni walikuwa: 2 Nemueli, Yamini, Yaribu, Zera na Shauli. 2
26Wazao wa Mishma walikuwa: 2 Hamueli aliyemzaa Zakuri, Zakuri akamzaa Shimei.