1 Nyakati 4:24
Wazao wa Simeoni walikuwa: 2 Nemueli, Yamini, Yaribu, Zera na Shauli. 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sons of Simeon were, Nemuel, and Jamin, Jarib, Zerah, and Shaul:
In Context
23Hawa walikuwa wafinyanzi walioishi Netaimu na Gedera; waliishi huko wakimtumikia mfalme. 1 Simeoni 1
25Mwana wa Shauli alikuwa Shalumu, Shalumu akamzaa Mibsamu, na Mibsamu akamzaa Mishma. 1
Cross References
Genesis 46:10Wana wa Simeoni ni: 2 Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Shauli mwana wa mwanamke Mkanaani. 1
Numbers 26:12Wazao wa Simeoni kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Nemueli, ukoo wa Wanemueli; 1 kutoka kwa Yamini, ukoo wa Wayamini; 1 kutoka wa Yakini, ukoo wa Wayakini; 1