bible.software › 1 Chronicles › 1 Chronicles 4 › 1 Chronicles 4:3
1 Chronicles 4:3
Hawa ndio waliokuwa wana wa Etamu: 2 Yezreeli, Ishma na Idbashi. Dada yao aliitwa Haselelponi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And these were of the father of Etam; Jezreel, and Ishma, and Idbash: and the name of their sister was Hazelelponi:
In Context
2Reaya mwana wa Shobali akamzaa Yahathi, Yahathi akawazaa Ahumai na Lahadi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Wasorathi. 1
4Penueli akamzaa Gedori, naye Ezeri akamzaa Husha. 1 Hawa walikuwa wazao wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrathi, na baba yake Bethlehemu. 1
Read all of 1 Chronicles 4
Cross References
Judges 15:11Ndipo watu 3,000 toka Yuda walipoteremka na kwenda kwenye ufa wa mwamba huko Etamu, na kumwambia Samsoni, “Je, hujatambua kuwa Wafilisti wanatutawala? Ni nini hiki ulichotutendea?” Akawajibu, “Mimi nimewatendea tu kile walichonitendea.”
This Verse In Other Editions
Study 1 Chronicles 4:3