bible.software › 1 Chronicles › 1 Chronicles 4 › 1 Chronicles 4:39
1 Chronicles 4:39
wakaenea mpaka kwenye viunga vya Gedori kuelekea mashariki mwa bonde wakitafuta malisho kwa ajili ya mifugo yao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they went to the entrance of Gedor, even unto the east side of the valley, to seek pasture for their flocks.
In Context
38Watu hawa walioorodheshwa hapa juu kwa majina walikuwa viongozi wa koo zao. Jamaa zao ziliongezeka sana,
40Huko walipata malisho mengi mazuri, nayo nchi ilikuwa na nafasi kubwa, yenye amani na utulivu. Baadhi ya Wahamu waliishi huko zamani.
Read all of 1 Chronicles 4
Cross References
Joshua 12:13mfalme wa Debiri 2 mmoja 1 mfalme wa Gederi 2 mmoja 1
1 Chronicles 4:4Penueli akamzaa Gedori, naye Ezeri akamzaa Husha. 1 Hawa walikuwa wazao wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrathi, na baba yake Bethlehemu. 1
1 Chronicles 12:7Yoela na Zebadia, wana wa Yerohamu, kutoka Gedori.
This Verse In Other Editions
Study 1 Chronicles 4:39