bible.software › 1 Chronicles › 1 Chronicles 4 › 1 Chronicles 4:40
1 Chronicles 4:40
Huko walipata malisho mengi mazuri, nayo nchi ilikuwa na nafasi kubwa, yenye amani na utulivu. Baadhi ya Wahamu waliishi huko zamani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they found fat pasture and good, and the land was wide, and quiet, and peaceable; for they of Ham had dwelt there of old.
In Context
39wakaenea mpaka kwenye viunga vya Gedori kuelekea mashariki mwa bonde wakitafuta malisho kwa ajili ya mifugo yao.
41Watu walioorodheshwa majina walikuja katika nchi hiyo wakati wa Hezekia mfalme wa Yuda. Akawashambulia Wahamu katika makao yao pamoja na Wameuni ambao walikuwako huko nao wakawaangamiza kabisa, kama ilivyo dhahiri hadi leo. Kisha wakafanya makazi yao huko kwa sababu kulikuwa na malisho mazuri kwa ajili ya mifugo yao.
Read all of 1 Chronicles 4
Cross References
Genesis 10:6Wana wa Hamu walikuwa: 2 Kushi, Misraimu, + 10:6 Yaani Misri . Putu na Kanaani. 1
Psalms 78:51Aliwapiga wazaliwa wote wa kwanza wa Misri, 2 matunda ya kwanza ya ujana katika mahema ya Hamu. 1
This Verse In Other Editions
Study 1 Chronicles 4:40