1 Nyakati 4:8
na Kosi ambaye aliwazaa Anubi, Sobeba na jamaa zote za Aharheli mwana wa Harumu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Coz begat Anub, and Zobebah, and the families of Aharhel the son of Harum.
In Context
7Wana wa Hela walikuwa: 2 Serethi, Sohari, Ethnani,
9Yabesi aliheshimiwa kuliko ndugu zake. Mama yake alimwita Yabesi, akisema, “Nilimzaa kwa huzuni.”