The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 4 › 1 Nyakati 4:9

1 Nyakati 4:9

Yabesi aliheshimiwa kuliko ndugu zake. Mama yake alimwita Yabesi, akisema, “Nilimzaa kwa huzuni.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Jabez was more honourable than his brethren: and his mother called his name Jabez, saying, Because I bare him with sorrow.

In Context

8na Kosi ambaye aliwazaa Anubi, Sobeba na jamaa zote za Aharheli mwana wa Harumu.

10Yabesi akamlilia Mungu wa Israeli akisema, “Ee Mungu, laiti ungenibariki kweli kweli na kuipanua mipaka yangu! Mkono wako na uwe pamoja nami, uniepushe na uovu ili nisidhurike!” Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba. 1

Read all of 1 Nyakati 4

Cross References

Genesis 3:16Kwa mwanamke akasema, 1 “Nitakuzidishia sana utungu wakati wa kuzaa kwako; 2 kwa utungu utazaa watoto. 1 Tamaa yako itakuwa kwa mumeo 2 naye atakutawala.”

Genesis 35:18Hapo alipopumua pumzi yake ya mwisho, kwa maana alikuwa akifa, akamwita mwanawe Benoni. + 35:18 Benoni maana yake Mwana wa huzuni yangu. Lakini babaye akamwita Benyamini. + 35:18 Benyamini maana yake Mwana wa mkono wangu wa kuume.

1 Chronicles 7:23Kisha akakutana kimwili na mke wake tena, naye akachukua mimba, akamzalia mwana. Akamwita Beria, kwa sababu ya misiba iliyoipata nyumba yake.

Isaiah 43:4Kwa kuwa wewe ni wa thamani na wa kuheshimiwa machoni pangu, 2 nami kwa kuwa ninakupenda, 1 nitatoa watu badala yako 2 na mataifa badala ya maisha yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 4:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 4:81 Nyakati 41 Nyakati 4:10 →