1 Nyakati 5:18
Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase walikuwa na watu mashujaa 44,760 waliokuwa wameandaliwa kwa ajili ya vita: watu wenye nguvu, hodari wa kutumia ngao na upanga, mashujaa wa kutumia upinde, waliokuwa tayari kwa ajili ya kazi hiyo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Walipigana vita dhidi ya Wahagari, Yeturi, Nafishi na Nodabu.
Cross References
Numbers 1:3Wewe na Aroni mtawahesabu kwa migawanyo yao wanaume wote katika Israeli wenye miaka ishirini na kuendelea ambao wanaweza kutumika katika jeshi.
Joshua 1:12Lakini kwa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, Yoshua akasema,