bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 5 › 1 Nyakati 5:19
1 Nyakati 5:19
Walipigana vita dhidi ya Wahagari, Yeturi, Nafishi na Nodabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they made war with the Hagarites, with Jetur, and Nephish, and Nodab.
In Context
18Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase walikuwa na watu mashujaa 44,760 waliokuwa wameandaliwa kwa ajili ya vita: watu wenye nguvu, hodari wa kutumia ngao na upanga, mashujaa wa kutumia upinde, waliokuwa tayari kwa ajili ya kazi hiyo.
20Walisaidiwa katika kupigana nao, Mungu akawatia Wahagari pamoja na wote walioungana nao mikononi mwao, kwa sababu walimlilia Mungu wakati wa vita. Alijibu maombi yao, kwa sababu walimtegemea.
Read all of 1 Nyakati 5
Cross References
Genesis 25:15Hadadi, Tema, Yeturi, Nafishi na Kedema.
1 Chronicles 5:10Wakati wa utawala wa Mfalme Sauli, walipigana vita dhidi ya Wahagari, wakaanguka kwa mikono yao, kisha wakaishi katika mahema ya Wahagari katika eneo lote la mashariki ya Gileadi. 1 Wana Wa Gadi 1
This Verse In Other Editions
Study 1 Nyakati 5:19