1 Nyakati 5:23
Idadi ya nusu ya kabila la Manase walikuwa wengi sana, Wakakaa kuanzia Bashani hadi Baal-Hermoni, yaani mpaka Seniri na mlima Hermoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 26:28Wazao wa Yosefu kwa koo zao kutoka kwa Manase na kwa Efraimu walikuwa:
Deuteronomy 3:9(Wasidoni huuita mlima huo Sirioni, nao Waamori huuita Seniri.)
Joshua 13:11Vilevile ilijumlisha Gileadi, eneo la Wageshuri na Wamaaka, mlima wote wa Hermoni na Bashani yote ikienea hadi Saleka:
Psalms 133:3Ni kama vile umande wa Hermoni 2 unavyoanguka juu ya Mlima Sayuni. 1 Kwa maana huko ndiko Bwana alikoamuru baraka yake, 2 naam, hata uzima milele.