The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 3 › Kumbukumbu 3:9

Kumbukumbu 3:9

(Wasidoni huuita mlima huo Sirioni, nao Waamori huuita Seniri.)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

( Which Hermon the Sidonians call Sirion; and the Amorites call it Shenir;)

In Context

8Hivyo kwa wakati huo tukachukua kutoka kwa wafalme hawa wawili wa Waamori nchi ya mashariki ya Yordani, kutoka Bonde la Arnoni mpaka kufika kwenye Mlima Hermoni.

10Tuliteka miji yote kwenye uwanda wa juu, Gileadi yote, Bashani yote mpaka kufika Saleka na Edrei, miji ya utawala wa Ogu huko Bashani.

Read all of Kumbukumbu 3

Cross References

Deuteronomy 4:48Nchi hii ilienea kutoka Aroeri ukingoni mwa Bonde la Arnoni mpaka Mlima Sioni (yaani Hermoni),

1 Chronicles 5:23Idadi ya nusu ya kabila la Manase walikuwa wengi sana, Wakakaa kuanzia Bashani hadi Baal-Hermoni, yaani mpaka Seniri na mlima Hermoni.

Psalms 89:12Uliumba kaskazini na kusini; 2 Tabori na Hermoni wanaliimbia jina lako kwa furaha. 1

Song of Solomon 4:8Enda nami kutoka Lebanoni, bibi arusi wangu, 2 enda nami kutoka Lebanoni. 1 Shuka kutoka ncha ya Amana, 2 kutoka juu ya Seniri, kilele cha Hermoni, 1 kutoka mapango ya simba 2 na kutoka mlima wapendapo kukaa chui. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 3:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 3:8Kumbukumbu 3Kumbukumbu 3:10 →