1 Nyakati 5:8
Bela mwana wa Azazi, mwana wa Shema, mwana wa Yoeli. Hao waliishi katika eneo kuanzia Aroeri mpaka Nebo na Baal-Meoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 32:38pia Nebo na Baal-Meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa) na Sibma. Miji waliyoijenga upya waliipa majina.
Deuteronomy 34:1Kisha Mose akaupanda mlima Nebo kutoka tambarare za Moabu mpaka kilele cha Pisga, ngʼambo ya Yeriko. Huko Bwana akamwonyesha nchi yote: kutoka Gileadi mpaka Dani,
1 Chronicles 5:4Wazao wa Yoeli walikuwa: 2 Shemaya mwanawe, Gogu mwanawe; 2 Shimei mwanawe,
Isaiah 17:2Miji ya Aroeri itaachwa 2 na itaachiwa mifugo ambayo italala huko, 2 bila yeyote wa kuyaogopesha. 1