Numbers 32:38
pia Nebo na Baal-Meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa) na Sibma. Miji waliyoijenga upya waliipa majina.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
37Nao Wareubeni wakajenga upya miji ya Heshboni, Eleale na Kiriathaimu,
Cross References
Genesis 26:18Ndipo Isaki akavichimbua tena vile visima vya maji ambavyo vilichimbwa siku zile za Abrahamu baba yake, ambavyo Wafilisti walivifukia baada ya kufa Abrahamu, akavipa majina yale yale ambayo baba yake alikuwa amevipa.
Numbers 22:41Asubuhi iliyofuata Balaki akamchukua Balaamu mpaka Bamoth-Baali, na kutoka huko Balaamu akawaona baadhi ya watu.
Deuteronomy 32:50Utafia kwenye mlima huo unaokwea na kukusanyika pamoja na watu wako, kama ndugu yako Aroni alivyofia juu ya Mlima Hori naye akakusanyika kwa watu wake.
Psalms 16:4Huzuni itaongezeka kwa wale 2 wanaokimbilia miungu mingine. 1 Sitazimimina sadaka zao za damu 2 au kutaja majina yao midomoni mwangu. 1
Jeremiah 48:21Hukumu imefika kwenye uwanda wa juu: 2 katika Holoni, Yahasa na Mefaathi, 1