1 Chronicles 6:13
Shalumu akamzaa Hilkia, 2 Hilkia akamzaa Azaria, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Shallum begat Hilkiah, and Hilkiah begat Azariah,
In Context
12Ahitubu akamzaa Sadoki, 2 Sadoki akamzaa Shalumu, 2
14Azaria akamzaa Seraya, 2 Seraya akamzaa Yehosadaki. 4
Cross References
1 Samuel 8:2Mzaliwa wa kwanza alikuwa Yoeli, na la wa pili lilikuwa Abiya, nao wakatumika huko Beer-Sheba.
2 Kings 22:12Akatoa maagizo haya kwa Hilkia kuhani, Ahikamu mwana wa Shafani, Akbori mwana wa Mikaya, Shafani mwandishi, na Asaya mtumishi wa mfalme:
2 Chronicles 34:14Wakati walikuwa wakizitoa nje fedha zilizokuwa zimetolewa kwenye Hekalu la Bwana, kuhani Hilkia akakipata kile Kitabu cha Sheria ya Bwana kilichokua kimetolewa kwa mkono wa Mose.