1 Samweli 8:2
Mzaliwa wa kwanza alikuwa Yoeli, na la wa pili lilikuwa Abiya, nao wakatumika huko Beer-Sheba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Samweli alipokuwa mzee, akaweka wanawe kuwa waamuzi wa Israeli.
Cross References
Genesis 22:19Ndipo Abrahamu akawarudia watumishi wake, wakaondoka wakaenda wote pamoja mpaka Beer-Sheba. Abrahamu akaishi huko Beer-Sheba. 1 Wana Wa Nahori
1 Kings 19:3Eliya aliogopa, na akakimbia kuokoa maisha yake. Alipofika Beer-Sheba katika Yuda, akamwacha mtumishi wake huko,
1 Chronicles 6:28Wana wa Samweli walikuwa: 2 Yoeli mzaliwa wake wa kwanza, 2 na Abiya mwanawe wa pili. 1
Amos 5:5msitafute Betheli, 1 msiende Gilgali, 2 msisafiri kwenda Beer-Sheba. 1 Kwa maana kwa hakika Gilgali itakwenda uhamishoni, 2 na Betheli itafanywa kuwa si kitu.” + 5:5 Yaani Aveni kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aveni, jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 1