1 Nyakati 6:19
Wana wa Merari walikuwa: 2 Mahli na Mushi. 1 Zifuatazo ni koo za Walawi zilizoorodheshwa kufuatana na baba zao: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Wana wa Kohathi walikuwa: 2 Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 1
20Wazao wa Gershoni: 2 Gershoni akamzaa Libni, Libni akamzaa Yahathi, 2 Yahathi akamzaa Zima,
Cross References
Numbers 3:20Koo za Wamerari zilikuwa ni: 2 Mahli na Mushi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Walawi, kufuatana na jamaa zao.
1 Chronicles 6:12Ahitubu akamzaa Sadoki, 2 Sadoki akamzaa Shalumu, 2
1 Chronicles 24:26Wana wa Merari: walikuwa Mahli na Mushi. 2 Mwana wa Yaazia: alikuwa Beno. 1