The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 3 › Numbers 3:20

Numbers 3:20

Koo za Wamerari zilikuwa ni: 2 Mahli na Mushi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Walawi, kufuatana na jamaa zao.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the sons of Merari by their families; Mahli, and Mushi. These are the families of the Levites according to the house of their fathers.

In Context

19Koo za Wakohathi zilikuwa ni: 2 Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 1

21Kulikuwa na koo za Walibni na Washimei kwa Gershoni; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wagershoni.

Read all of Numbers 3

Cross References

Exodus 6:19Wana wa Merari walikuwa Mahli na Mushi. 1 Hizi ndizo zilizokuwa koo za Lawi kufuatana na orodha zao. 1

1 Chronicles 6:19Wana wa Merari walikuwa: 2 Mahli na Mushi. 1 Zifuatazo ni koo za Walawi zilizoorodheshwa kufuatana na baba zao: 1

1 Chronicles 6:44Na kutoka kwa walioshirikiana nao, Wamerari, mkono wake wa kushoto: 2 Ethani mwana wa Kishi, mwana wa Abdi, 2 mwana wa Maluki,

1 Chronicles 23:21Wana wa Merari walikuwa: 2 Mahli na Mushi. 1 Wana wa Mahli walikuwa: 2 Eleazari na Kishi. 2

1 Chronicles 25:3Wana wa Yeduthuni walikuwa sita: 2 Gedalia, Seri, Yeshaya, Shimei, Hashabia, na Matithia, nao walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao Yeduthuni, wao walikuwa wakitoa unabii wakitumia vinubi, wakimshukuru na kumtukuza Bwana. 1

Zechariah 12:13ukoo wa nyumba ya Lawi na wake zao, ukoo wa Shimei na wake zao,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 3:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 3:19Numbers 3Numbers 3:21 →