The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 6 › 1 Nyakati 6:8

1 Nyakati 6:8

Ahitubu akamzaa Sadoki, 2 Sadoki akamzaa Ahimaasi, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Ahitub begat Zadok, and Zadok begat Ahimaaz,

In Context

7Merayothi akamzaa Amaria, 2 Amaria akamzaa Ahitubu, 2

9Ahimaasi akamzaa Azaria, 2 Azaria akamzaa Yohanani, 2

Read all of 1 Nyakati 6

Cross References

2 Samuel 15:27Pia mfalme alimwambia kuhani Sadoki, “Je, wewe si mwonaji? Rudi mjini kwa amani pamoja na mwanao Ahimaasi na Yonathani mwana wa Abiathari. Wewe na Abiathari wachukueni wana wenu wawili.

2 Samuel 17:15Hushai akawaambia makuhani Sadoki na Abiathari, “Ahithofeli amemshauri Absalomu na wazee wa Israeli kufanya kadha wa kadha, lakini mimi nimewashauri wao kufanya kadha wa kadha.

2 Samuel 17:20Watu wa Absalomu walipofika kwa huyo mwanamke, wakamuuliza, “Wako wapi Ahimaasi na Yonathani?” Huyo mwanamke akawajibu, “Walivuka kijito.” Watu wa Absalomu wakapekua lakini hawakuwaona hata mmoja, hivyo wakarudi Yerusalemu.

2 Samuel 18:22Ahimaasi mwana wa Sadoki akamwambia tena Yoabu, “Liwalo na liwe, tafadhali niruhusu nikimbie nyuma ya huyo Mkushi.” Lakini Yoabu akajibu, “Mwanangu, mbona wataka kwenda? Wewe huna habari yoyote itakayokupa tuzo.”

2 Samuel 20:25Sheva + 20:25 Sheva mahali pengine ameitwa Shausha ( 1Nya 18:16; 1Fal 4:3 ). alikuwa mwandishi; Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani;

1 Kings 1:34Huko kuhani Sadoki na nabii Nathani wamtie mafuta awe mfalme juu ya Israeli. Pigeni tarumbeta na mpaze sauti, ‘Mfalme Solomoni aishi maisha marefu!’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 6:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 6:71 Nyakati 61 Nyakati 6:9 →