2 Samweli 20:25
Sheva + 20:25 Sheva mahali pengine ameitwa Shausha ( 1Nya 18:16; 1Fal 4:3 ). alikuwa mwandishi; Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Sheva was scribe: and Zadok and Abiathar were the priests:
In Context
26na Ira, Myairi, alikuwa kuhani wa Daudi.
Cross References
1 Kings 1:7Adoniya akashauriana pamoja na Yoabu mwana wa Seruya na kuhani Abiathari, nao wakamsaidia.
1 Chronicles 18:16Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; Shausha alikuwa mwandishi;