1 Nyakati 7:10
Mwana wa Yediaeli alikuwa: 2 Bilhani. 1 Wana wa Bilhani walikuwa: 2 Yeushi, Benyamini, Ehudi, Kenaana, Zethani, Tarshishi na Ahishahari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Orodha ya ukoo wao iliyoandikwa viongozi wa jamaa zao walikuwa wapiganaji 20,200. 1
Cross References
1 Chronicles 8:6Hawa ndio wazao wa Ehudi, waliokuwa viongozi wa jamaa za wale walioishi huko Geba na ambao walihamishiwa Manahathi: 2