1 Nyakati 8:6
Hawa ndio wazao wa Ehudi, waliokuwa viongozi wa jamaa za wale walioishi huko Geba na ambao walihamishiwa Manahathi: 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 21:17Kutoka kabila la Benyamini wakawapa Gibeoni, Geba,
Judges 4:1Baada ya Ehudi kufa, Waisraeli wakafanya tena maovu machoni pa Bwana.
1 Chronicles 2:52Wazao wa Shobali, baba yake Kiriath-Yearimu, walikuwa: 2 Haroe, nusu ya wakazi wa mji wa Menuhothi,
1 Chronicles 6:60Kutoka kabila la Benyamini walipewa Gibeoni, Geba, Alemethi na Anathothi, pamoja na maeneo yake ya malisho. 1 Miji hii kumi na mitatu iligawanywa miongoni mwa koo za Wakohathi.