1 Chronicles 7:13
Wana wa Naftali walikuwa: 2 Yahzieli, Guni, Yeseri na Shalumu; hao walikuwa wazao wa Bilha. 1 Wana Wa Manase 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sons of Naphtali; Jahziel, and Guni, and Jezer, and Shallum, the sons of Bilhah.
In Context
12Washupimu na Wahupimu walikuwa wazao wa Iri. Wahushimu walikuwa wazao wa Aheri. 1 Wana Wa Naftali 1
Cross References
Genesis 30:3Ndipo Raheli akamwambia, “Hapa yupo Bilha, mtumishi wangu wa kike. Kutana naye kimwili ili aweze kunizalia watoto na kwa kupitia yeye mimi pia niweze kuwa na uzao.”
Genesis 46:24Wana wa Naftali ni: 2 Yaseeli, Guni, Yeseri na Shilemu.
Numbers 26:49kutoka kwa Yeseri, ukoo wa Wayeseri; 1 kutoka kwa Shilemu, ukoo wa Washilemu.