Genesis 46:24
Wana wa Naftali ni: 2 Yaseeli, Guni, Yeseri na Shilemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Naphtali; Jahzeel, and Guni, and Jezer, and Shillem.
In Context
23Mwana wa Dani ni: 2 Hushimu. 1
Cross References
Genesis 30:7Bilha mtumishi wa kike wa Raheli akapata mimba tena, akamzalia Yakobo mwana wa pili.
Genesis 49:21“Naftali ni kulungu jike aliyeachiwa huru 2 azaaye watoto wazuri. 1
Numbers 1:42Kutoka wazao wa Naftali: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
Deuteronomy 33:23Kuhusu Naftali akasema: 1 “Naftali amejaa tele upendeleo wa Bwana, 2 naye amejaa baraka yake; 2 atarithi magharibi na kusini.”
1 Chronicles 2:2Dani, Yosefu, Benyamini, Naftali, Gadi na Asheri. 1 Yuda 2 Hadi Wana Wa Hesroni 1
1 Chronicles 12:34Watu wa Naftali, maafisa 1,000, pamoja na watu 37,000 waliochukua ngao na mikuki. 1