bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 8 › 1 Nyakati 8:38
1 Nyakati 8:38
Aseli alikuwa na wana sita; haya ndiyo majina yao: 2 Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia na Hanani. Hawa wote ndio waliokuwa wana wa Aseli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Azel had six sons, whose names are these, Azrikam, Bocheru, and Ishmael, and Sheariah, and Obadiah, and Hanan. All these were the sons of Azel.
In Context
37Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Rafa, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli. 1
39Wana wa Esheki, nduguye Aseli, walikuwa: 2 Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Ulamu, wa pili Yeushi na wa tatu Elifeleti.
Read all of 1 Nyakati 8
This Verse In Other Editions
Study 1 Nyakati 8:38