bible.software › 1 Chronicles › 1 Chronicles 8 › 1 Chronicles 8:39
1 Chronicles 8:39
Wana wa Esheki, nduguye Aseli, walikuwa: 2 Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Ulamu, wa pili Yeushi na wa tatu Elifeleti.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Eshek his brother were, Ulam his firstborn, Jehush the second, and Eliphelet the third.
In Context
38Aseli alikuwa na wana sita; haya ndiyo majina yao: 2 Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia na Hanani. Hawa wote ndio waliokuwa wana wa Aseli. 1
40Wana wa Ulamu walikuwa mashujaa hodari walioweza kutumia upinde. Alikuwa na wana wengi na wajukuu, jumla yao 150. 1 Hawa wote ndio walikuwa wazao wa Benyamini.
Read all of 1 Chronicles 8
This Verse In Other Editions
Study 1 Chronicles 8:39